tapori.org http://www.tapori.org/site/ sw tapori.org http://www.tapori.org/site http://www.tapori.org/site/ Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,1557.html 2008-01-15 09:42:35 2008-01-15T08:42:35Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,569.html 2006-11-24 16:44:08 Wanapoona jambo hilo, wazazi upande wao wanachukuwa vyombo vya kazi. Wanafanya kazi ambayo watoto hawawezi kufanya kwa sababu inapita nguvu zao.
Mutoto mmoja anajitokeza, huyu ni Patient. Anataka kusaidia kwa kazi hiyo. Lakini wengine wanamuhamakia kwa ukali kabisa :
" Ondoka, wewe ni maibobo tu"! (mutoto wakuzurura barabarani).
Ono anawasitisha bila kukawiya na kuwakusanya kando yake.
Lecteur dewplayer de (...) 2006-11-24T15:44:08Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,568.html 2006-09-12 17:17:20 Mukutano unaanzishwa : René anamuonyesha Ono kwa wengine watoto ambao walikuwa zaidi ya hamsini (makumi tano)na umri mbalimbali. Wote wanamushangilia. Kila mumoja anachukua usemi. Ono anashangazwa akisikia watoto wanafasiria mambo mbalimbali wanayofanya kwa kusaidia rafiki na jama zao. Anasikiliza kwa makini Imani anayefasiria namana gani amemusaidiya mwenziwe Muhindo kwa kujenga nyumba yao iliyo kuwa imebomoka.
Mwongozi wa mukutano anamualika Ono kutowa maonyi yake. Kwa kufunga mukutano, (...) 2006-09-12T15:17:20Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,567.html 2006-09-12 17:09:25 Ono anatazama kwa tamaa kubwa kabumbu (mupira wa miguu) ambayo inakuwa mikononi mwa René.
"Kabumbu hii si yangu, ni ya kundi letu, kundi letu la Tapori Watoto Etoiles (nyota) ila ni mimi niaichunga", anafasiria, René ! " Unataka tucheze kabumbu hii?", anauliza René.
Ono anashangazwa sana, ni mara ya kwanza anakuta mwengine mutoto anayemukubalia kucheza pamoja naye. Ono hakukawiya kwa kusema ndiyo kwa ombi la René. Basi, vijana hawa wawili wanaanza muchezo wa kabumbu.
Lecteur (...) 2006-09-12T15:09:25Z text/html sw Kwa kutuandikia http://www.tapori.org/site/Kwa-kutuandikia.html 2006-09-01 18:00:50 Unatoka kusoma hadisi ya urafiki kati ya Ono na René. Unahitaji kuandikia Tapori maonyi yako kuhusu hadisi hiyi ? Hadisi hiyi imekutolea fundisho gani ya lazima kuhusu urafiki ? Wewe pia una hadisi ya urafiki ambayo utaeleza ?
kwa kutuandikia anuani ni hii :
Tapori chemin Galiffe,5 1201 Genève Suisse
ao (e-mail)
tapori@tapori.org ## Clique ici pour nous écrire en français ## Click here to write to us in (...) 2006-09-01T16:00:50Z text/html sw Mafasirio kuhusu Tapori ? http://www.tapori.org/site/Mafasirio-kuhusu-Tapori.html 2006-09-01 12:23:26 ni muungano wa kirafiki kati ya watoto wa mahali popote ulimwenguni na wanaojikusudia pale wanapokuwa ili watoto wote wawe na bahati sawasawa.
Yanayosemwa na watoto kuhusu Tapori :
« inasaidiya watoto kusema mambo ya mafaa.»
«Kwa njia ya , watoto wanafahamiyana na kujuwana kati yao. Hata kama hawazungumuze lugha moja.»
« ni neno ninaloweza kusemwa katika lugha zote.»
« ni kama vile rafiki.»
« ni kilalo kati ya watoto wote.»
«Sasa ni najuwa tapori , ninatambuwa kuwa nina bahati kubwa (...) 2006-09-01T10:23:26Z text/html sw Tapori ni nini ? http://www.tapori.org/site/Tapori-ni-nini.html 2006-09-01 11:55:39  Marafiki wa wale wasiokuwa na rafiki !
Tapori ni muungano wa kimataifa na wa urafiki kati ya watoto. Jina Tapori lilichaguliwa na Joseph Wresinski kama alama ya kuungana na watoto wanaoishi katika hali ya umaskini kubwa. Joseph Wresinski, muundaji wa "Mouvement ATD Quart Monde" alikomaa katika hali ya umaskini. Aliposafiri katika inchi ya India, alikuta huko watoto maskini sana waliyokuwa wakiitwa "Tapori" . Hawa walikuwa wakiishi kwenyi bandari za gari la moshi na walikuwa wakisaidiana (...) 2006-09-01T09:55:39Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,531.html 2006-08-31 17:52:15 Ni mwisho wa kazi, watoto wanarudi nyumbani kwao. Wanachoka kabisa ila wanakuwa na furaha kisha kupitisha pamoja muchana huo wakitumika pamoja. Ono na René wanaenda pamoja, wanakuta njiani Janda na rafiki yake Samuka. Wametambuwa kuwa watoto hawa wawili wanashindwa kuendelea. Basi, Ono na René wanawaambia :
"Haya, pandeni juu ya mabega yetu tuwafikishe nyumbani kwenu"

Unatoka kusoma hadisi ya Ono na René.
Kwa njia hii utuandikie maonyi (...) 2006-08-31T15:52:15Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene.html 2006-08-31 09:46:50 Moja kati ya watoto anasema : "Twende, sasa ni wakati wa kucheza kwenyi muto!"
Ono anawafwata akifikiri : " Labda leo watanikubalia kuwoka pamoja nao". Lakini mutoto mwengine anamuhamakia : "Hapana ! Ono, unajuwa vizuri kama sisi hatutaki hata kidogo uwe pamoja nasi. Uko muchafu sana, utachafua maji ya muto." Maneno hayo inawachekesha watoto wote waliokuwapo. Ono anajitenga nao akiwa mwenyi uzuni tele moyoni. Ni kweli, Ono anatabia ya kubaki bila kunawa, anakuwa na muchoko tele anapotoka (...) 2006-08-31T07:46:50Z text/html sw Ono na René http://www.tapori.org/site/Ono-na-Rene,528.html 2006-08-31 09:31:49 Ono anawaambia : "nilipokuwa na umri wenu hakuna mutu ambaye alinikubaliya kucheza pamoja naye. Watoto wengine walikuwa wakiniita mutu wa bazimu. Ni René peke yake alinikubali. Ni yeye aliyenileta katika kundi hii".
Watoto wanamutazama kwa mushangao kubwa : Ono anawachekesha na wanamufurahia kama kaka yao. Hawakufikiri hata kidogo kuwa Ono alikuwa mwenyi kuzarauliwa nawengine kwa namna hiyo. Wanamutazama Patient ambaye ni tayari kwa kukujitenga nao. Ni mwenyi uzuni usoni.
Mutoto binti (...) 2006-08-31T07:31:49Z text/html sw